Amiri Jehi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.Hussein Ally Mwinyi(kushoto) Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Adolf Mwamunyange wakiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa nyumba za maafisa wa jeshi huko Monduli mkoani Arusha jana.Katika mradi huo jumla ya nyumba elfu kumi zinatarajiwa kujenga katika kambi mbalimbali za jeshi nchini(picha na Freddy Maro)
KAMPUNI YA USAFIRISHAJI SIMBA YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA
KUTOA MAHITAJI KITUO CHA WATOTO YATIMA
-
KATIKA Kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja Kampuni ya Wakala wa Forodha
(SIMBA) Wameikumbusha Jamii Kuhakikisha wanatoa faraja kwa watu wenye
uhitaji h...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment