Pages

Saturday, December 6, 2014

Simba yashindwa kutamba, yatoka suluhu naThe Express ya Uganda


 Magolikipa wa Simba, Manyika Peter na Ivo Mapunda  wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya mchezo wao wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya The Express ya Uganda, katika mchezo huo timu hizo hazikufunga.  (Picha zote na Francis Dande)
Katongole Henry akimtoka mshambulia wa Simba, Ramadhani Singano 'Mess'.
Kipa wa The Express, Mutumba Ivan akiruka juu kuokoa moja ya hatari langoni mwake.


Beki wa Simba, Nasoro Masoud akimtoka mchezaji wa The Express ya Uganda wakati wa mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 Ramadhani Singano 'Mess' akitafuta mbinu za kumtoka beki wa The Express, Katongole Henry.
Kipa wa The Express ya Uganda, Mutumba Ivan.
Elius Maguri akipata matibabu baada ya kuumia.

No comments:

Post a Comment