Joniko Flower Wakwanza Kulia Akiongoza mashambulizi Huku akipewa tafu ya kutoshaaa na Aneth Kushaba(katikati)na Sony Masamba Kushoto |
Friday:5.12.14 kama kawaida, bado tuandelea kusema asante
kwa wadau wetu kwa support kubwa#zawadi kibao na muziki mzuri Thai village
masaki
Saturday:6.12.14 nyama na muziki#nyamachomafestival na
skylight band, vijawanja vya UDSM njoo ule nyama proper na burudani toka kwa
bendi proper na burudani zingine kibaoo
Sunday:7.12.14 ni bonanza letu kama kawaida#skylight Sunday
bonanza hapa tunamaliza weekend ki Africa na bendi yako Escape1 beach club Muziki mzuri ndo kazi
Bela Kombo(Wa kwanza Kushoto)akiimba kwa madaha kabisa kuwapa burudani mshabiki wake
Digna Mpera wa Kwanza Kulia Akipiga zile Back Vocal ili kumpa sapoti Aneth Kushaba(katikati)na Bela Kombo(kushoto)
Aneth Kushaba Ak 47 akizitiririsha Vocal zake kalii kuwapa rahaa mashabiki wake,You Know what Ijumaa Hii Aneth akatunukiwa Shahada yake ya musiki kutoka kwa mashabiki wa ke kipenziiiii waliokunwa na burudani na vocal zake kaliiiiiiii
Hashimu Donode(Wa kwanza kulia)akizipiga zile vocal zake kaliiiiiiii na hatariiiii ili kuwapa burudani mashabiki wake ndani ya Thai Village
Mutu ya watu,mutu ya kongo anaitwaga Sony Masamba(Wa kwanza Kulia)akiimbisha Sebene kali sana la Fally Ipupa,,Get up, get up and dance, dance
Africa viens dance, orignal
Europa viens dancer, original
America, let’s dance, original
Sud America Como estas, original
Asia nǐ hǎo, original
Epasuka
Kinshasa bisengo, original
Abudjan on sanshai, original
Douala Yaounde, makosa, original
Libreville oriengo, original
Wanamwita King of Solo Guitar Allen Kisso Azichana zile Nyuzi kwa sanaaaa kuweka ladha tamuuuu ndani ya Muziki mzuri unaowapa raha mashabiki Ndani ya Thai VillageAnaitwa Daudi Tumbaaaa Akishangaaa Lensi yetu ilipomfuataaaa huku akizipiga tumba zake,Kwa Mbaliii ni Joniko Flower akizipiga Vocal Kwa sanaaaaaa
Hapoooo sasaaaaa Vijana wakiyarudi mauno na nYimbo ya Fally Ipupa Muse yoyo muyaya ma eh eh
Museyi muse (Muyaya me)
Museti museti (Muyaya me)
Allez muse yoyo (Muyaya me)
Moseto museto
Uso wa Kaziiiiii ni Joniko Flower Akiyarudi vilivyoooo Akipewa Sapoti na Aneth Kushaba(katikati)Mashabiki kwa Rahaaaaaa zaoo wakiyarudiiiii
Kwiooo kwioooo kikukuuu huyoooo ana manyoya huyoooo Kwioooo kwiooooo
Wa pili Huyu hapa kwa upande wa akina Kaka Alipatiaaaaa mwishoni Akaharibuuuuu
Sasa Kwa Upande wa akina Dada huyu ndio alikuwa Bingwa waoooo hebu mtazame aiseee ni shidaaaa
Bwana weeeee unamuona mtoto huyooo mwenye suruali ya Nyekunduuuu Mtoto hatariii huyuuuuu
Bela kombo akashindwa kujizuia na kuamua kumshangili shabiki huyu mwenye Suruali nyekundu
Na hatimaye Akashindaaa Na kupewa Zawadi yake Nonooooooooooo usikose leo tunaendelea na zoezi hili
Haya Sasa Wakina kaka hawa Wawili wakaanza kuchuana kucheza zile staili kali za bendi yao lakini walitoka droo na wote wakapewa zawadi zao nono,hebu wafatilie hapa chiniii
Hapoooo sasa Weweeee mwanaume panga boiiii hahahah
Hapo sasa lipompo lipompoooo lipompoooo safi sanaaaa
Hahahahah Mguu wa kushotooo mbeleee,mguu wa kuliaaa mbeleeee
Na Zawadi Zikatolewaaaaa kwa Washindiii,Ni Furahaaa sanaaaaa
Burudani ikaendelea kama kawaida,Nyomi la watu kama siku zoteeeeee
Kwa rahaaaaa zakeeeeeeee
No comments:
Post a Comment