Kim Bok-soon alitumia Won milioni 30 (£17,320) kwa jumla ya upasuaji mara 15 kwenye uso wake katika kipindi cha siku moja na baadaye akagundua kuwa daktari wake hakuwa mpasuaji wa kuongeza urembo bandia mwilini ambaye alimhadaa Kim BoK-Soon kutumia won (17,320) kufanya upasuaji mara 15 kwenye uso wake.
Sehemu ya shida ni kuwa upasuaji wa kuongeza urembo bandia
una faida kubwa na kwa hivyo unawaalika madaktari wengi ambao hawajahitimu- ama
madaktari wale waliohitimu katika nyanya zingine za utabibu.
Inadaiwa kuwa taratibu zimefanywa na wanaoitwa ''madaktari
mapepo''.Katika kesi moja kotini,inadaiwa kuwa daktari alihepa chumba cha
upasuaji wakati mgonjwa wake akiwa kwenye dawa za kuondoa fahamu na kupunguza
uchungu na kuwacha kazi hiyo kufanywa na mpasuaji mwingine badala yake.
Juu ya hiyo, iliibuka kuwa madakatari hao wamejifanyia
upasuaji wa kujiongeza urembo bandia kuilingana na picha zao kabla - na - baada
ya upasuaji.
Kwa uhakika ni kwamba Chama cha madaktari wa upasuaji wa
kuongeza urembo bandia Korea kimetoa wito kwa kuwepo na sheria kali ya
madaktari na wanaotoa ujumbe. Wanahofia kwamba utangazaji mbaya unaharibu sifa
ya sekta ambayo kwa kiasi kikubwa imesimamiwa vizuri.
'Biashara kubwa'
Lakini wao wanapigana na mseto huu, Upasuaji una faida sana,
hata una bei ambazo zinadhoofisha upasuaji huo Marekani na Ulaya. Ni biashara
kubwa sana huko Gangnam, hapa katika Seoul, bei ya "kurekebisha
jicho" ni dola 1500 na ni shughuli
inayochukua dakka 30 tu. hiyo
huongezeka hadi dola 11,000 kwa upasuaji wa kurekebisha sura.
Lakini labda watu wa China ambao wanataka kuwa kwenye filamu
au, wazazi wa Korea Kusini ambao wanadhani wanaweza kuwarembesha mabinti wao
kupitia kisu cha upasuaji lazima watafakari njia ya kushtua ya kupitia kwenye
mahakama.
Malkia aliyekuwa mshindi wa taji la urembo, alifanyiwa
upasuaji wa kukuza kifua ambayo ilikuwa na madhara makubwa mno kwani upasuaji
huo ulifanya titi lake moja kuwa kubwa kuliko lingine.
Analaumu madaktari kwa kushindwa na matibabu na pia kwa
kutomweleza kwa uwazi ". Angalia, huna haja ya upasuaji huu"
"Upasuaji wa plastiki ni kama madawa ya kulevya," alisema.
"Kukishafanya macho, utataka pua."
Na madaktari pia hawakwambii kuwa "uko mrembo sana
ulivyo bila upasuaji" Masaibu yanayokupata baadaye kutokana na madhara ya
upasuaji huo huwa ni juu yako mwenyewe.CHANZO BBC
Huwezi kuepuka matangazo ya mauzo kila utembeapo katika Mji
wa Seoul,utapata wito wa kukutaka ubadilishe umbo kwa njia ya upasuaji wa
kuongeza urembo bandia.
Katika mtaa wa ukwasi wa Gangnam,kila ukuta una ishara ya
kukuelekeza sehemu ya upasuaji wa aina hii
Kwenye treni na mitaani,unaelezewa kuwa ''unaweza kurudisha
uchanga usoni mwako.''kuweka ama kuondoa mikunjo usoni'' inapendekezwa
kufanyiwa-''upasuaji wa matiti'',''kuzuia kuzeeka'' ''kubadili kope za
macho''''kupunguza nyama na ngozi inayolegea mwilini''.
Pia kuna ''kupunguza taya na kuzifanya mraba''(matangazo
haya hasa huashiria wanaume).Ama kubadili uso wako ''kutoka ngozi ilioangika na
isiyo imara hadi ile inayojivuta na bora.'' ambayo inaelekezwa kwa wanawake.
Rafiki yangu mmoja analalamika kuwa huwa anahisi uchungu
kwenye kidevu kila kunaponyesha.Imeibuka kuwa alienda kufanyiwa upasuaji wa pua
na akashawishiwa -ama akajishawishi- kuwa ni mikunjo ya kidevu chake
iliyohitaji kubadilishwa.
Matokeo,kidevu chenye umbo bora zaidi lakini chenye uchungu
zaidi.Licha ya hayo,anadhamiria kufanyiwa upasuaji wa kuongeza matiti.
'Uasi mkubwa'
Kilio cha uchungu baada ya upasuaji wa pua ili kunyooshwa
Katika nchi hii,wazazi wananielezea kuwa wanawapa mabinti
zao zawadi ya 'upasuaji maradufu wa vibugiko vya macho'' inayowezesha macho yao
kuonekana zaidi-''kwa kweli huku ni kupunguza maumbile ya Kiaasia.Sijui mbona
kwani macho ya Kikorea yanavutia sana vile yalivyo.
''Msisitizo unaotolewa na matangazo ya aina hii kwenye treni
ni kuwa ''kujiamini jinsi unayoonekana hukupa nguvu ambayo yaweza kuwa chanzo
cha furaha.''Furaha ambayo inayopatikana kwa kukatwa kwa kisu!!!
Isipokuwa kwamba si hivyo.sasa kuna kesi kadhaa kotini ambapo
wagonjwa-ama waathirika kama wanavyojulikana- wanawashitaki madaktari
waliopangua na kupanga tena nyuso zao,kwa njia wasizopenda wao.Muathiriwa mmja
alisema ''hii si sura ya binadamu'' punde alipovua bandeji.
Hii si sura ya binadamu,ni maasi kuliko wa hayawani ama
majitu.''
'Gharama si mchezo'
Baada ya upasuaji wa kuongeza ukubwa wa matiti, mawnamke
huyu alipata na titi moja kubwa na lengine ndogo
No comments:
Post a Comment