Pages

Wednesday, December 3, 2014

TASWIRA ZA MAZISHI YA MCHEZA KRIKETI PHILLIP HUGHES NCHINI AUSTRALIA JANA

Misa ya kumuombea mcheza kriketi wa Australia, Phillip Hughes iliyofanyika jana nyumbani kwake jijini Macksville, Australia.
Waombolezaji wakiwa katika misa ya kuombea mwili wa marehemu, Phillip Hughes.
Nahodha wa timu ya Taifa ya kriketi Australia, Clarke akiongea jambo wakati wa misa hiyo.
Dada wa marehemu Megan akiongea jambo wakati wa misa.
Mwili wa marehemu ukiombewa.
Wananchi wakifatilia misa kupitia 'big screen'.
Phillip Hughes enzi za uhai wake.


Safari ya kuelekea katika mazishi ikianza katika mtaa wa Macksville.
Wananchi wakishiriki mazishi ya Phillip Hughes.
Wananchi wakiwa pembezoni mwa barabari kutoa salamu zao za mwisho kwa mwili wa marehemu.
...Mwili wa marehemu ukiwa ndani ya gari kuelekea uwanjani.
Mwili wa marehemu ukiwasili uwanjani.
Wananchi wakiendelea kuweka maua kwenye Uwanja wa Kriketi wa Sydney.
Wananchi wakiwa kwenye Uwanja wa Kriketi wa Sydney tayari kwa kuaga mwili wa marehemu.
(PICHA NA MTANDAO)

No comments:

Post a Comment