Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, December 3, 2014

TAZAMA PICHA 6::DIAMOND AUNGANA NA WASANII BARANI AFRIKA KUREKODI WIMBO WA KUPINGA UGONJWA WA EBOLA


 Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii wa Afrika watakaosikika kwenye wimbo wa pamoja wa kampeni ya kupinga ugonjwa wa Ebola ‘Africa Against Ebola’ wasanii walioshiriki katika kampeni hiyo akiwemo, Iyanya, Donald,Banky W,Kcee,Mafikizolo,Sean Tizzle na wengineo.





No comments:

Post a Comment