Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, December 24, 2014

TAZAMA PICHA 7 ZA VURUGU KATI YA MACHINGA NA POLISI DAR JANA



Wananchi wakishirikiana kuondoa mawe barabarani ili kuruhusu magari kuendelea na safari zake. JESHI la Polisi jijini Dar limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafanyabiashara ndogondogo maarufu kwa jina la Machinga waliokuwa wanaandamana kuelekea ofisi za jiji eneo la Kamata, Kariakoo jijini Dar es Salaam Jana.

Machinga hao waliamua kuchoma matairi na kuweka mawe barabarani wakati wa maandamano hayo ambapo madai yao ni kuhusu unyanyasaji wanaofanyiwa na askari wa jiji ikiwemo kunyang'anywa mali zao.chanzo GPL

No comments:

Post a Comment