Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, December 20, 2014

UHUSIANO WA MSANII WA BONGO FLEVA YOUNG KILLER NA MPENZI WAKE WATIMIZA MIAKA NANE

Ni mara chache sana kwa masupastaa kufunguka kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi, ni wachache sana ambao wako tayari kuweka mambo wazi kama msanii Young Killer ambaye ana ameweka wazi uhusiano wake na mwanadada Halimaty.‘’Halimaty ni mpenzi wangu nipo naye zaidi ya miaka nane,amekuwa zaidi ya rafiki’’alisema Young Killer kwenye shoo ya After Skul Bash iliyofanyika Jumamosi iliyopita kwenye viwanja vya Escape One,Mikocheni.




No comments:

Post a Comment