Vita iliyoanza Jana saa 3 usiku baada ya idris sultan wa Tanzania kuchukua ushindi kule kwa madiba hali iliyopelekea Davido kupost post ya utata kule ‘twita’ iliyotafsiriwa kama kejeli kwa Watanzania. Davido alipost sentensi ‘N they cheat again lol’, post hiyo ilipelekea Diamond kureact kujibu na pia baada ya muda Diamond alipost picha ya tuzo nyingine aliyoishinda Jana usiku huo huo wajana katika ardhi ya Nigeria lagos na kuandika ‘thanks GOd we cheated again’.Sasa Leo vita hiyo imefika pabaya kati ya wanaigeria na Wa-Tz, matusi ya Watanzania kule instagram na ‘twita’ yamewashika Wanaigeria sasa nao wamecharuka vibaya kujibu mapigo kwa kuchora katuni mbali mbali za kejeli na kuwaita Watanzania majina kama Tanzarats, Beggers, attentionseekers, Tanzagays na matusi mengine mengi.
Tembelea akaunti za twita na instagram za davidofficial na diamondplatnumz ukaone laana za matusi ya maelfu ya Wanaigeria kwa Diamond na maelfu ya matusi ya wa-Tz kwa Davido.
Je,hii itatujenga au itatubomoa kwa upande wetu?
Twitter Battle: Diamond Vs Davido
Davido’s Twitte
No comments:
Post a Comment