Wakuu wa Mkoa wamtembelea na kumjulia hali Rais Kikwete
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja
na baadhi ya wakuu wa mikoa waliowawakilisha wenzao kwenda ikulu leo kumjulia
hali na kumpa pole kufuatia upasuaji alifanyiwa mwezi uliopita nchini
Marekani.(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment