Jordan
James Parke mwenye umri wa miaka 23 huenda ndie shabiki mkubwa zaidi
duniani wa mwanamitindo ambae ni drama queen Kim Kardashian mke wa rapa
Kanye West
Jordan
alipohojiwa kwenye gazeti la The Sun alidai kuwa amezama kimapenzi kwa
msanii huyo baada ya kutazama kipindi cha Tv cha Kim kinachokwenda kwa
jina la Keeping Up With The Kardashians alinukuliwa akisema ‘I love
everything about Kim,’ ‘She’s the most gorgeous woman ever.
Her
skin is perfect, her hair, everything about her.’ In a bid to resemble
his idol, Jordan has undergone more than 50 cosmetic procedures
including Botox, lip and cheek fillers, eyebrow tattoos and laser hair
removal.
No comments:
Post a Comment