Pages

Sunday, December 21, 2014

WALIMWENGU DAHHH:MWANAUME ALIETUMIA DOLA 150,000 KUJIBADILI SURA AFANANE NA KIM KARDASHIAN TAZAMA PICHA ZAKE HAPA

Jordan James Parke mwenye umri wa miaka 23 huenda ndie shabiki mkubwa zaidi duniani wa mwanamitindo ambae ni drama queen Kim Kardashian mke wa rapa Kanye West
Jordan alipohojiwa kwenye gazeti la The Sun alidai kuwa amezama kimapenzi kwa msanii huyo baada ya kutazama kipindi cha Tv cha Kim kinachokwenda kwa jina la Keeping Up With The Kardashians alinukuliwa akisema ‘I love everything about Kim,’ ‘She’s the most gorgeous woman ever.
 Her skin is perfect, her hair, everything about her.’ In a bid to resemble his idol, Jordan has undergone more than 50 cosmetic procedures including Botox, lip and cheek fillers, eyebrow tattoos and laser hair removal.




No comments:

Post a Comment