Aliyewahi kuwa mtangazaji wa EATV, Teddy Kalonga aka TK,
amepata uraia wa Marekani.
Teddy aliyeolewa nchini humo na ambaye ni mama wa watoto
wawili amekuwa akiishi nchini humo kwa miaka kadhaa sasa lakini akiwa kama raia
wa kigeni.
Omg ! #newUScitizen #maisha-popote-roho-ilipotulia,”
ameandika Teddy ambaye pia ni
mwanamitindo kwenye picha hiyo juu aliyoipost
Instagram.
No comments:
Post a Comment