Pages

Wednesday, January 21, 2015

Kiswahili katika biashara TZ Je wamachinga wa kichina wanaelewa lugha ya 'nipunguzie kidogo'

Kila lugha duniani huambatana na utamaduni fulani wa watumiaji wake.
Waswahili wamekuwa na mazoea ya kutumia lugha ya Kiswahili katika biashara kwa namna ambayo muuzaji hutaja bei ya juu kidogo kisha mnunuzi huomba punguzo mpaka pale bei itakapowaridhisha wote wawili.
Mwandishi wa BBC Arnold Kayanda alitembelea soko 


kuu la Kariakoo jijini Dar Es Salaam ambako anasikiliza mtizamo wa waswahili kukosa nafasi hiyo ya 'nipunguzie kidogo' kutoka kwa wafanyabiashara wa kichina.

Ni taarifa ya Arnold Kayanda.

No comments:

Post a Comment