Pages

Sunday, January 4, 2015

PICHA 3::JENGO LATEKETEA KWA MOTO KARIAKOO

Jengo la Ghorofa 8 likiwa linateketea katika ghorofa ya 4,Jengo hilo linamilikiwa na mfanyabiashara anayejulikana kwa jina la Haji Kube ,vitu mbalimbali zikiwemo Frem za Picha ,maua, vimeteketea kwa moto. ambapo mmiliki wa ofisi hiyo yuko nje kwa safari
Hapo wananchi wakikimbizana baada ya nguzo ya umeme kutowa mlipuko katika Barabara ya Huru na Kongo Dar es Salaam kama ilivyonaswa na mwandishi wa Jambo Leo alipokuwa akienda katika Jengo la Ghorofa 8 lililopo jirani na Msikiti wa Kiblateni

.
Hapo wananchi wakikimbizana na kuondowa bidhaa zao baada ya nguzo ya umeme



kutoa mlipuko katika Barabara ya Uhuru na Kongo Dar es Salaam.

                                                                                                                   VICTOR SIMON

No comments:

Post a Comment