mashambulizi libya
Wanamgambo wamemteka naibu waziri wa maswala ya kigeni
katika serikali inayotambuliwa kimataifa.
Maafisa wanasema kuwa Hassan al Saghir alitekwa nyara kutoka
chumba chake cha hoteli katika mji wa mashariki wa Al-Baida mapema jumapili.
Haijulikani ni kundi gani lililotekeleza kisa hicho.
Utekaji nyara umekuwa jambo la kawaida nchini Libya,ambapo
serikali mbili zinapigania udhibiti huku makundi tofauti ya wanamgambo
yakikabiliana.
No comments:
Post a Comment