Mbinu mpya ya chanjo imeonekana kuwakinga nyani dhidi ya
virusi vya HIV ,ripoti ya wanasayansi wa Marekani imesema.
Chanjo kwa kawaida huifundisha kinga ya mwili wa mtu
kukabiliana na maambukizi.
Lakini,watafiti katika taasisi ya Scripps mjini Carlifornia
wamebadilisha DNA ya nyani hao ili kuzipa seli zao uwezo wa kukabiliana na
virusi vya HIV.
Kikosi hicho cha wanasayansi kimetaja hatua hiyo kama
mafanikio makubwa na sasa kinataka kuanzisha mbinu hiyo miongoni mwa binaadamu.
chanjo
Majaribio yaliofanywa miongoni mwa nyani hao katika ripoti
ya jarida la asili,yalionyesha kuwa nyani walikingwa kutokana aina yoyote ya
virusi vya HIV kwa kipindi cha wiki 34.
Watafiti wanaamini kuwa mpango huo huenda ukawa muhimu
miongoni mwa watu ambao wana virusi vya HIV.
Mtanfiti bingwa Professa Micheal Farza ameiambia BBC :''
tunakaribia kupata tiba ,lakini bado tunakabili wa na vikwazo hususan katika salama wa kuwapa watu wengi
zaidi.
chanjo
''Tunaifurahia na tunadhani kwamba mi mafanikio
makubwa,lakini tuna upendeleo''Lead researcher Prof Michael Farzan told the
BBC: "We are closer than any other approach to universal protection, but
we still have hurdles, primarily with safety for giving it to many, many
people.
Chanjo za HIV zimeshindwa kufanikiwa kwa kuwa virusi hivyo
hujibadilisha mara kwa mara kila vinapolengwa na dawa.
Lakini Chanjo hii mpya hulenga eneo ambalo vurusi hivyo
hujibadilisha.chanzo BBC
No comments:
Post a Comment