Pages

Monday, February 16, 2015

FILAMU MPYA YA JADA YAZIDI KUSUBILIWA KWA HAMU,WAMACHINGA WATAKA KUTOANA ROHO

Habari zilizo zagaa mitaani n kwamba wamachinga wanasema filam ambayo itatulipa ni JADA kwa sababu kila mteja wetu 


anauliza jada haijatoka tunawaomba hawa wasambazaji wawahi 
kuitoa ili tupate pesa yaani daah hiyo filam sijui ina nn alisema huyo machinga mtaani

No comments:

Post a Comment