Utafiti umebaini kuwa betri za simu za android
zinawezakutumika kufuatilia watumizi
Simu za kisasa zinazotumia mfumo wa Android zinaweza
kufuatiliwa kwa urahisi sana.
Uchunguzi umebaini kuwa simu zinazotumia mfumo huo zinaweza
kufuatiliwa kwa urahisi mno pasi na kutumia kifaa cha GPS yake.
Aidha simu hizo zinaweza kudukuliwa kwa kutumia matumizi ya
betri yake huku utafiti ukisema kuwa simu zinazotumika karibu na kifaa cha
kupeperushia masafa ya simu za kuungia mbali.
Simu za kisasa ''Smartphone'' hutumia nguvu zaidi inapokuwa
mbali zaidi na kifaa hicho cha kupeperushia masafa ya GSM, kwani inachangamoto
tele za kungamua masafa.
Matumizi ya nguvu zaidi ya shughuli zingine yanaweza
kubaiishwa na ''alogarithm'' muundo msingi wa simu yenyewe.
Watafiti hao sasa wameunda mfumo ambao unakusanya habari
kuhusu matumizi ya betri ya simu.
‘’Mfumo huo hairuhusu kutumia GPS wala huduma zozote kwa
mfano mtandao wa Wi-fi ‘’
Jopo hilo linajumuishwa Yan Michalevsky, Dan Boneh na Aaron
Schulman kutoka idara ya sayansi ya tarakilishi katika chuo kikuu cha Standford
pamoja na Gabi Nakibly kutoka kwa kampuni ya Rafael waliandika katika utafiti
wao.
Utafiti umebaini kuwa betri za simu za android
zinawezakutumika kufuatilia watumizi
‘’Tunaruhusa ya kuunganisha mtandao na upatikanaji wa nguvu
yao.’’
‘’Hizi ni ruhusa za kawaida kwa mfumo huo na inawezekano wa
kutoleta hutuma kwa upande wa mwathiriwa.
Kuna mifumo 179 ambazo zinapatikana kwenye Anaroid ,timu
hiyo iliongezea.
Shughuli kama kuskiza muziki au kutumia mtandao wa kijamii
inamaliza betri ya simu lakin i hii inaweza kupunguzwa kutokana na ‘’kujifunza
kwa mashine’’ripoti inasema.
Jaribio hilo lilifanyiwa kwa simu ambazo zinatumia mtandao
wa 3G lakini haikuweza kupima nguvu kwa kuwa twakimu inalindwa na kifaa hicho.
No comments:
Post a Comment