Pages

Tuesday, February 10, 2015

KOLO TOURE ATUNDIKA DARUGA MECHI ZA IVORY COAST

Mchezaji Kolo Toure anayekipiga Uingereza na timu ya Liverpool ambaye siku ya Jumapili aliisaidia timu yake ya Taifa kuchukua ubingwa wa Afrika Cup of Nation baada ya kuifungia timu hiyo moja ya mkwaju wa penati baada ya timu hiyo ya Ivory Coast na Ghana kutoka suluhu ndani ya dakika 120 na baadae 


kupigiana penati 11 katika mechi ya fainali. Kolo Toure ametangaza rasmi mechi hiyo ndio ilikua ya mwisho kuchezea Ivory Coast na sasa anapisha wachezaji vijana kuendelea kuchukua nafasi yake na siku zote atakua mstari wa mbele kuiunga mkono timu hiyo. 

No comments:

Post a Comment