Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho kwenye majeneza yenye miili ya Familia ya marehemu Kapten David Mpila waliofariki kwa kuteketea na moto nyumbani kwao Kipunguni, wakati wa mazishi yao yaliyofanyika Februari 10,2015 katika makaburi ya Airwing Ukonga Dar es salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho kwenye majeneza yenye miili ya Familia ya marehemu Kapten David Mpila waliofariki kwa kuteketea na moto nyumbani kwao Kipunguni, wakati wa mazishi yao yaliyofanyika Februari 10,2015 katika makaburi ya Airwing Ukonga Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiweka shada la maua kwenye makaburi ya familia ya marehemu Kapten David Mpila waliofariki kwa kuteketea na moto, wakati wa mazishi yao yaliyofanyika Februari 10,2015 katika makaburi ya Air wing Ukonga Dar es salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimfariji mama mzazi wa marehemu bibi Celina Mpila mke wa marehem Kapten David Mpila waliofariki kwa kuteketea na moto, wakati wa mazishi yao yaliyofanyika Februari 10,2015 katika makaburi ya Airwing Ukonga Dar es salaam. (Picha na OMR)
NAFASI ZA UONGOZI WA SERIKALI ZA MASHEHA ZANZIBAR UNADAIWA KUTOZINGATIA
USAWA WA KIJINSIA
-
Na Nihifadhi Abdulla, Zanzibar
DIRA ya Maendeleo ya Zanzibar ya mwaka 2020-2025 katika maadhimio namba
2.5.1 mpaka 2.5.9 yameeleza jinsi gani masuala mba...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment