Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Dully Sykes, ameshangazwa
na kitendo cha wasanii wengi kutojitokeza katika mazishi ya baba yake mzazi,
Ebby Sykes
“Sijui walijua nitakuja kuwaomba fedha zao, mimi nilishapata
michango mingi kutoka kwa watu wengine mbalimbali, ukweli wasanii tuache roho
za kimasikini,” alisema.
Sykes aliendelea kusema amegundua asilimia kubwa ya wasanii
wamekuwa wakipendana wakati wa raha tu, lakini inapofika muda wa matatizo kila
mmoja hukimbia.
No comments:
Post a Comment