Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, February 10, 2015

MBOWE ATETA NA RED BRIGADE DODOMA


 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akizungumza na vijana wa ulinzi wa chama hicho maarufu kama Red Brigade, (RB), kutoka Kanda ya Kati ya Mikoa ya Dodoma na Singida kwenye makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma Jumatatu Februari 9, 2015.


Mbowe wakati akizungumza na Red Brigade

No comments:

Post a Comment