Madonna akionyesha makalio yake.
MWANAMUZIKI mkongwe wa muziki wa Pop nchini Marekani
asiyeishiwa vituko, Madonna jana ametoa kali nyingine baada ya kuinua juu gauni
lake na kuonyesha makalio yake wakati akipiga picha za red carpet kwenye zoezi
la utoaji Tuzo za 57 za Grammy.
Madonna akiwasili katika red carpet ya Tuzo za Grammy 2015
akiambatana na mwanamuziki Nas.
Madonna mwenye miaka 56, aliinua gauni na kuacha makalio
yake wazi wakati wa zoezi hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi
wa Staples Centre jijini Los Angeles, Marekani.
Madonna akipozi kwenye red carpet.
No comments:
Post a Comment