Msanii mwenye heshima kubwa katika tasnia ya filam tanzania
jenniferkyaka odama baada filamu zake kushika chat za juu Na kupendwa na
mashabiki na kusema zinaelimisha sana sasa amekuja na nyingine inayokwenda kwa
jina la “JADA” Si Filamu Ya Kukosa kwani inaelimisha na kuburudisha.
Ndani ya Filamu Hii kuna mastaa kibao kama Wastara Juma,Hemedi ambao wamevaa uhusika wao vizurii na kuifanya Filamu hii kuwa ya kuvutia.
No comments:
Post a Comment