Pages

Monday, February 16, 2015

Mziki Unalipa Mwana FA aonyesha jeuri ya fedha,Tazama Picha

Kweli Mziki unalipa sana ,msanii wa kizazi kipya Hamis Mwijuma (Mwna FA) aonyesha jeuri ya fedha.Mwana FA asafiri kwenda Massachusetts kwa kutumia ndege wanayotumia matajiri 


wakubwa,Ona Picha ya Juu,nadhani mwana FA anajibu Mtanzania genius aliyepanda bizness class.

No comments:

Post a Comment