Pages

Sunday, February 15, 2015

PICHA 10::YANGA WALIPOITUNGUA BDF XI GOLI 2 BILA

 Mchezaji wa timu ya Yanga,Mrisho Khalfan Ngassa akiwania mpira na Mchezaji wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam .Yanga imeshinda bao 2 - 0 zilizotiwa kimiani na Mshambuliaji Hamis Tambwe dakika ya kwanza ya mchezo na 55. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
 Golikipa wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana akiondosha hatari iliyokuwa ikielekezwa langoni mwake wakati wa Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam .Yanga imeshinda bao 2 - 0.
 Winga machachari wa Yanga,Saimon Msuva akiangalia namna ya kumtoka beki wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana,Othusitse Mpharitlhe wakati wa Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika ulipigwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam .Yanga imeshinda bao 2 - 0.
Beki wa Yanga,Mbuyu Twite akirusha mpira kwa ustadi mkubwa.
Mchezaji wa timu ya Yanga,Mrisho Khalfan Ngassa akiichezesha ngome ya timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana katika mtanange wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika ulipigwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam .



huchukui mpira hapa.....










Kiungo mchezeshaji wa timu ya Yanga,Haroun Niyonzima akichanja mbuga mbele ya mabeki wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana katika mtanange wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika ulipigwa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam .

No comments:

Post a Comment