Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, February 13, 2015

PICHA 6 ZA MSANII MAARUFU ODAMA (JENNIFER KYAKA) AKIWA NDANI YA TBC KUZUNGUMZIA MOVIE YAKE KALI YA JADA ITAKAYOTOKA 19.02.2015

 Odama Akipozi Kwenye studio za TBC leo alipokuwa akihojiwa kwenye ulimwengu wa filamu
 JENNIFER KYAKA ODAMA akiwa kwenye kipindi cha tv cha tbc akiongelea filami yake ya jada ambacho kitaruka jumamos saa nne ni katika harakati za kuambia watazamaji.kwamba sasa jada ipo karibu kutoka
 Odama akipozi kwenye moja ya vifaa vya Tbc Leo Alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha ulimwengu wa Filamu



Furahaaa tele kwa mwanadada Odama mara baada ya mahojiano ndani ya TBC

No comments:

Post a Comment