Pages

Monday, February 9, 2015

PICHA::IVORY COAST WAUTWAA UBINGWA WA AFRIKA 2015

Mabingwa wapya wa Kombe la Mataifa Afrika 2015, Ivory Coast wakipozi na kombe leo.

Straika wa Manchester City, Wilfried Bony akiwa amembeba shujaa wa Ivory Coast Boubacar Barry (katikati), aliyefunga penalti ya mwisho.
Nahodha wa Ivory Coast, Yaya Toure akifurahia ubingwa.


Patashika wakati wa fainali ya leo.
TIMU ya Ivory Coast imetwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa Afrika 2015 baada ya ushindi wa penalti 9-8 dhidi ya Ghana baada ya kutoka suluhu katika dakika 120 za mchezo.
Fainali hiyo imepigwa huko Bata nchini Equitorial Guinea usiku huu.
VIKOSI:
Ghana (4-3-3): Razak; Boye, Rahman, Mensah, Afful; Mubarak, Acquah, Ayew; Atsu (Acheampong, 115), Gyan (Agyemang-Badu, 120) Appiah (Ayew, 98)
Wachezaji waliokuwa benchi na hawakutumika: Sowah, Gyimah, Awal, Rabiu, Asante, Otoo, Amartey, Accam, Dauda
Ivory Coast (4-4-2): Barry; Bailly, Aurier, Kanon, Toure; Tiene (Kalou, 114), Die, Toure, Gradel (Doumbia, 66); Bony, Gervinho (Tallo, 120)
Wachezaji waliokuwa benchi na hawakutumika: Mande, Viera, Roger, Doukoure, Akpa Akpro, Diomande, Traore

No comments:

Post a Comment