Daktari akifanya upasuaji wa uume.KIjana mmoja wa miaka 17
nchini Uingereza amefanyiwa upasuaji kupunguza uume wake.
Mvulana mmoja amefanyiwa kile madaktari wanasema ni upasuaji
wa kwanza wa kupunguza uume wake.
Kijana huyo wa miaka 17 alikuwa akilalamika kwamba hangeweza
kushiriki katika tendo la ngono ama hata kushiriki katika michezo swala
lililomshinikiza kuomba kupunguzwa uume wake.
Kabla ya kufanyiwa upasuaji huo uume huo ulikuwa na urefu wa
nchi 7 na ukubwa wa nchi 10.
Daktari wa upasuaji Surgeon Rafael kutoka chuo kikuu cha
Florida kusini ambaye alifanya upasuaji
huo aliliambia gazeti la mail online
kwamba ''kuna wakati ambapo kila daktari wa upasuaji hupata ombi la maajabu
linalokuwacha kinywa wazi.
''Swali hilo ni Je, unaweza kuufanya uume wangu kuwa
mdogo''?.
Kwa wale waliohitaji kufanyiwa upasuaji huo, uume wao haui
mkubwa wakati unapodinda bali huwa mgumu.
Daktari huyo alisema kwamba wengu hufanyiwa upasuaji wa
kukiongeza kiungo hicho na wala si kukipunguza.
Kijana huyo alifanyiwa matibabu hayo na kumaliza matatizo
yake.
No comments:
Post a Comment