Mshambuliaji wa Yanga, Andrew Coutinho (kulia) akimtoka beki wa Tanzania Prison, Salum Kimenya katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya. (Picha na Kenneth Ngelesi)
Mshambuliaji wa Yanga, Andrew Coutinho akiwa amepiga magoti huku akiwa amezungukwa na wachezaji wenzake wakishangilia baada ya kumalizika kwa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Sokoine. Yanga ilishinda mabao 3-0.
Wachezaji wa Yanga wakiongozwa na Saimon Msuva wakishangilia moja ya goli wakati wa mchezo wa Ligi Kuu baina ya wenyeji wao Tanzania Prisons uliochezwa katika uwanja Kumbukumbu ya Sokoine jiji Mbeya.
No comments:
Post a Comment