Hyvon Ngetich
Mwanariadha wa Kenya Hyvon Ngetich ameshindwa kutwaa ubigwa
wa mbio za marathoni ya Austin huko Texas.
Ngetich alishindwa kumaliza vizuri mbio hizo za mia 50 baada
ya kupata maumivu ya goti
Mpaka anaanguka chini mwanaridhaa huyui alikua
anaongoza
mbio hizo,jopo la madaktari liliangalia hali yake baada ya kukataa kubebwa
kwenye kiti cha wagonjwa.
Hyvon alishika nafasi ya tatu katika michuano hiyo ya Riadha
ya marathoni.
No comments:
Post a Comment