Pages

Friday, February 6, 2015

SKYLIGHT BAND WAENDELEA KUTOA BURUDANI YA NGUVU JIJI LA DAR

Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar es Salaam Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti na Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Kisura mwingine wa Skylight Band anayefamika kwa jina la Baby
Msanii wa Skylight Band Joniko akiendelea kutoa burudani huku vijana wa Skylight Band wakitimua vumbi jukwaani wakiongozwa na Sony Masamba ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar 

Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akiimba kwa hisia kali mbele ya mashabiki wa Skylight Band(hawapo pichani) ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar 



Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akiimba uku akipewa support ya nguvu na Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge( wa kwanza kushoto), Sam Mapenzi (wa pili kutoka kulia) pamoja na John Music ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar 
Sony Masamba akiendelea kuimba masebene ya nguvu  huku akipewa support na Majembe ya Skylight Band yaliyojimwaga kwenye stage 
Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akiimba kwa hisia kali wakati akitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar
Waimbaji wa Skylight Band yakijimwaga na sebene jukwaani kwenye show za bendi hiyo zinazofanyika kila Ijumaa ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar.
Msanii wa Skylight Band John Music akitoa burudani ya nguvu ndani ya kiota cha Thai Village


Msanii wa Skylight Band Joniko(wa kwanza kushoto) akiendelea kutoa burudani akisaidiwa na John Music(wa kwanza kulia) pamoja na Ashura Kitenge pamoja na Baby
Ulifika muda wa kusugua mpaka utakate ilikuwa noma sanaaaaa!!!!!11
Mashabiki wa Skylight Band wakijiachia kwa raha zao ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar.

No comments:

Post a Comment