Picha hii imepostiwa kupitia Acc ya msanii wa Nay Wamitego
akiwa yupo kitandani na mwanadada ambae amevalia bikini huku sehemu kubwa ya
mwili wake ukiwa wazi / unaonekana.
Hali ya mwanadada huyo ameonekana akitabasamu bila kuwa na
wasi wasi kitendo ambacho kinafanya tuamini kwamba labda wana shoot video,
lakini
sidhani kama ni sawa pia kwa maadili yetu ya Kitanzania. Pengine si
vibaya lakini mazoea hayo kwetu Watanzania ni mageni.
Picha hii imeonekana kuchukiza mabinti wengi na kuenea kwa
story tofauti kwa muda mfupi tangu aipost.
Alichoandika Nay Wamitego ni "Ooooh shiiiit!!!!"
No comments:
Post a Comment