Leo Dkt.Magufuli amewaongoza wananchi wa Dsm kwenye
majaribio ya uzinduzi wa Kivuko kipya Cha MV DAR ES SALAAM kitakachofanya
safari zake kati ya Dsm na Bagamoyo, ambapo mamia ya wananchi walkiwana Waziri
Magufuli wamesafiri bure kutoka Dsm kwenda Bagamoyo na kurudi.
WAHARIRI WAJENGEWA UELEWA UMUHIMU ULINZI TAARIFA BINAFSI
-
Na Said Mwishehe, Michuzi TV-Morogoro
TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi(PDPC) iliyoanzishwa mwaka 2022 ,
imekutana na Jukwaa la Wahari Tanzania(TEF) kwa le...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment