Kwa mujibuwa mtandao wa
JF, Mwigizaji wa vichekesho Lucas
Mhuvile, almaarufu kama Joti, anayepiga kazi kwenye kampuni ya Orijino Komedi,
amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema
kwamba safari ya kuelekea kwenye taasisi muhimu zaidi duniani ya NDOA
imewadia..
Waliokuwa na Miaka 16 wakati Sensa ya Watu na Makazi 2022 wana sifa ya
kupiga kura-NBS
-
*Ni katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa,w waonywa wapika takwimu za uongo.
Na Chalila.Kibuda
OFISI ya Taifa ya Takwimu(NBS) imesema taarifa ya serikali...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment