Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, February 18, 2015

UNYAMA WA KUTISHA:::PICHA/VIDEO:- ISLAMIC STATE (ISIS)YATEKA WATOTO TAYARI KUWACHOMA MOTO.



Islamic State sasa limewashikilia watoto wadogo 
waliokuwa wakipinga mauaji yananyofanywa na ISIS katika syria,
WATOTO hao wakionyeshwa kufungiwa ndani ya cage iliyo zungukwa na nondo, huku wame vaa suti za orange, wakiwa wanasubiria kuchomwa moto hadi kufa, Video inaonyesha kuwa watoto hao walikuwa wakionyeshwa video ya pilot aliyechomwa moto na kundi hilo huku akiwa hai hadi kufa.
Watoto hao wanalaumu kuto kuwapo kwa umoja wa mataifa ili kufanikisha juhudi hizo katika kul;eta amani tena.
WATOTO HAO WAMESHIKA MABANGO YAKIWA YAEMANDIKWA "ACHA MAUAJI YA WATOTO".
Cheki video hapa chini:
























No comments:

Post a Comment