Baadhi ya Abiria na wananchi wa kijiji cha Milundikwa wilayani Nkasi mkoani Rukwa, wakiangalia basi la Ndenjela Express lenye namba za usajili T 850 CRE kutoka Sumbawanga kwenda Mpanda mkoani Katavi ambalo limepinduka jana nyakati za saa 11 jioni. Abiria kadhaa walijeruhiwa na kukimbizwa hospitali ya Mkoa mjini Sumbawanga. Picha na Mussa Mwangoka
RAIS WA ZANZIBAR .DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA CHARAWE WILAYA
YA KATI UNGUJA LEO
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wazee wa Kijiji cha Charawe Wilaya ya
Kati Unguj...
54 minutes ago
No comments:
Post a Comment