Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, March 30, 2015

JENGO LA GHOROFA LILILOKUWA LIKIENDELEA KUJENGWA LAPOROMOKA JIJINI MWANZA


Watu watatu wamejeruhiwa huku mmoja
akiwa amefukiwa na kifusi baada ya jengo
la ghorofa lililokuwa likiendelea kujengwa
jijini Mwanza kuporomoka.

Hali za watu waliojeruhiwa imeelezwa


kuwa ni mbaya pia inasadikiwa kuwa
wapo watu wengi waliofukiwa (haijaelezwa
kuwa ni jengo la ghorofa ngapi). - Facebook


No comments:

Post a Comment