Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, March 29, 2015

KINANA:MAMA ANNE KILANGO MALECELA NI KATAPILLA LA SAME MASHARIKI, AMSIFU KWA KAZI NZURI

1 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Same Mashariki na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi mama Anne Kilango Malecela wakati alipowasili katika kijiji cha Maone akiwa katika ziara yake ya Kikazi yenye lengo la kukagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza uhai wa Chama Cha Mapinduzi CCM ambapo alikagua mradi wa chuo cha ufundi cha Maone na kumsifu mbunge wa jimbo hilo Mama Anne Kilango kuwa ni Katapilla kwa jinsi anavyowahangaikia wananchi wa jimbo la Same Mashariki.
 
Chuo cha VETA Maone kitakapokamilika kitaweza kuchukua wanafunzi 300 kikichukua wanafunzi 180 wa kutwa na wengine 120 wa bweni na kitakuwa ni chuo pekee nchini kitakachoweza kutoa wanafunzi ambao wanaweza kujiunga na Chuo Kikuu moja kwa moja kutoka katika chuo hicho ambacho kitaendeshwa na kitaendeshwa na Kanisa Katoliki Dayosisi ya Same. Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-SAME-KILIMANJARO) 2 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na mkuu wa chuo hicho Padri Evarist wakati alipowasili katika chua hicho katika kijiji cha maone kushoto pichani ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi. 4Mbunge wa jimbo la Same Mashariki Mama Anne Kilango akizungumza na wapiga kura wake kwenye chuo cha VETA Maone Wilaya ya Same. 5Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mbunge wa jimbo la Same Mashariki Mama Anne Kilango kulia ni Padri Evaerist Mkuu wa chu hicho na aliyesimama nyuma ni Nape Nnauye . 6Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Padri Evarist Mkuu wa Chuo cha VETA cha Maone Wilayani Same wakati alipokuwa akikagua ujenzi wa chuo hicho. 7Padri Evarist Mkuu wa Chuo cha VETA Maone wilayani Same mkoani Kilimanjaro akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wa tatu kutoka kushoto wakati alipotembelea chu hicho. 8Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiuliza jambo kwa mmoja wa walimu wa chuo hicho wakati alipokuwa akitembelea chuo hicho. 9Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua ujenzi wa chu hicho. 10 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi hawapo pichani mara baada ya kutembelea na kukagua ujenzi wa chuo cha Maone wilayani Same mkoani Kilimanjaro. 11Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiponda kokoto wakati alipokagua ujenzi wa daraja la Mang'a Myamba Same Mashariki. 12Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Blogger Ahmed Michuzi wa Jiachie ambaye ni mmoja wa wa mablogger ambao wapo katika ziara hiyo. 13Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kusuka nondo za nguzo za daraja la Mang'a Myamba wakati alipokagua ujenzi wa Daraji hilo Same Mashariki mkoani Kilimanjaro. 14Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua ujenzi wa daraja hilo. 15Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza mbunge wa jimbo la Same Mashariki Mama Anne Kilango Malecela wakati akihojiwa na waandishi wa habari huku Kinana akimsikiliza. 16Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akimsaidia kuvuka mto Mbunge wa jimbo la Same Mashariki Mama Anne Kilango wakati Kinana alipokagua ujenzi wa daraja hilo. 17Mbunge wa jimbo la Same Mashariki Mama Anne Kilango akivuka maji katika daraja la Mang'a Myamba. 18Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivuka maji kwenye mawe wakati alipokagua ujenzi wa daraja la Mang'a Myamba wilayani Same mkoani Kilimanjaro. 19Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na wananchi kuelekea eneo la makaburi ya watu 21 waliozikwa eneo moja ,ara baada ya kufariki katika maafa ya maporomoko ya milima kutokana na Mvua huko Same Mashariki mwaka 2011 mkoani Kilimanjaro 20Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana , Nape Nnauye na Mama Anne Kilango Malecela wakiweka mashada ya maua katika makaburi ya watu 24 waliozikwa katika kijiji cha Mang'a kata ya Goha Same Mashariki ambao walifariki wakati wa maporomoko ya milima kutokana na mvua kubwa mwaka 2011. 21Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana , Nape Nnauye na Mama Anne Kilango Malecela wakisali katika makaburi ya watu 24 waliozikwa katika kijiji cha Mang'a kata ya Goha Same Mashariki ambao walifariki wakati wa maporomoko ya milima kutokana na mvua kubwa mwaka 2011. 22Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Mama Anne Kilango Malecela wakila miwa mara baada ya kuweka mashada ya maua katika makaburi ya watu 24 waliozikwa katika kijiji cha Mang'a kata ya Goha Same Mashariki ambao walifariki wakati wa maporomoko ya milima kutokana na mvua kubwa mwaka 2011. 23Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na mwandishi wa ITV Bw. John Chacha mara baada ya kukagua daraja kijijini Mang'a kata ya Goha Same Mashariki ambao walifariki wakati wa maporomoko ya milima kutokana na mvua kubwa mwaka 2011. 24Blogger Ahmed Michuzi wa Jiachie ambaye ni mmoja wa wa mablogger ambao wapo katika ziara hiyo akimpiga picha mama Anne Kilango aliyepakizwa kwenye pikipiki akielekea katika kiwanda cha kusindika Tangawizi Myamba. 25Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Mbunge wa jimbo la Same Mashariki, Omary Bakari Mkurugenzi wa SIDO kushoto na Nape Nnauye wakati alipokagua kiwanda cha kusindika Tangawizi Myamba Same Mashariki. 26 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia jinsi Tangawizi inavyosindikwa katika kiwanda hicho huku mkurugenzi wa SIDO Tanzania Bw.Omary Bakari akiangalia. 27 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman KinanaOmary Bakari akisalimiana na wananchi wakati alipowasili kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Ndugu. 28Wananchi wa NDugu wakifurahia jambo katika mkutano huo. 29Umati wa wananchi waliojitokeza katika mkutano huo. 30Naoe Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenyre kijiji cha Ndugu wilayani Same. 31 32 33Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Ndugu uliofanyika jimboni Same Mashariki mkoani Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment