Mmoja wa waratibu wa Semina ya
madaktari kuhusu magonjwa ya ngozi, Jesinta Mboneko, akimkaribisha
mmoja wa washiriki hiyo, Muuguzi katika hospitali ya Mbezi Medical
Clinic inayojishughulisha na magonjwa hayo, Sarah Nyabhenda, kwenye
ukumbi wa semina hiyo katika hoteli ya Protea Cortyard, Upanga jijini
Dar es Salaam, jana jioni.
Baadhi ya washiriki wakianza kuingia
kwenye semina hiyo
Mkuu wa Idara Chuo Kikuu cha Tiba
Muhimbili (MUHAS), Dk. Denis Russa akiwakaribisha washiriki kwa ajili
ya kuanza rasmi semina hiyo
Mratibu Kiongozi wa semina hiyo,
Mkurugenzi wa Mbezi Medical Clinic, Dk. Venant Mboneko akitoa
maneno ya utangulizi kabla ya mtaalam wa magonjwa ya ngozi, kuanza
kutoa mada kwenye semina hiyo
Dk. Ranindra Babu kutoka nchini India,
akitoa mada kuhusu maradhi ya ngozi yalivyo na tiba zake, wakati wa
semina hiyo ya madaktari kuhusu ugonjwa huo, kwenye hoteli ya
Protea Cortyard jijini Dar es Salaam, jana.
Dk. Ranindra Babu kutoka nchini
India, akitoa mada kuhusu maradhi ya
ngozi yalivyo na tiba zake, wakati wa semina hiyo ya madaktari kuhusu
ugonjwa huo, kwenye hoteli ya Protea Cortyard jijini Dar es Salaam,
jana
Mgeni rasmi katika semina hiyo, Dk. Neema
Rusibamanyika Mkurugenzi (katikati) kutoka wizara ya Afya na Ustawi
wa Jamii. akifuatilia mada wakati Dk. Babu akiendelea kuelezea kwa
kina
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo
wakifuatilia mada
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo
wakifuatilia mada
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo
wakifuatilia mada
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo
wakifuatilia mada
Mratibu wa semina hiyo, Jesinta
Mboneko akifuatilia hali ya mambo kwenye semina
hiyo
Mgeni rasmi katika semina hiyo, Dk.
Neema Rusibamanyika kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
akizungumza baada ya kumsikiliza mtoa mada. Dk. Neema
amewashauri madaktari vijana, kubobea pia katika kutibu magonjwa ya
ngozi kwa sababu licha ya kwamba si miongoni kwa magojwa
yanayotishia uhai wa binadamu kwa kiwango kikubwa lakini yana
madhara mabaya sana kwa binadamu. Amesema, madaktari wengi
hawakimbiliii kujiunga na fani ya tiba ya magonjwa ya ngozi kwa
kudhani pengine si muhimu sana kuliko magonjwa mengine ndiyo
sababu madaktari waliobobea katika tiba hiyo ni wachache
ikilinganishwa na walioko kwenye tiba ya magonjwa
mengine.
Mratibu Kiongozi wa Semina hiyo Dk
Mboneko na mtoa mada Dk. Ranindra Babu wakimsikiliza mgeni
rasmi.
Dk. Mboneko akitoa neno la shukrani
kwa waalikwa wote ambao waliweza kuhudhuria semina hiyo na
kusikiliza mada kwa makini
Dk. Mboneko akimpa zawadi ya saa
Mgeni rasmi baada ya semina
Dk. Mboneko akiendelea kutoa zawadi
kwa baadhi ya wawakilishi kutoka Hospitali na vitengo mbalimbali
waliohudhuria
Dk. Mboneko akiendelea kutoa zawadi
kwa baadhi ya wawakilishi kutoka Hospitali na vitengo mbalimbali
waliohudhuria
Dk. Mboneko akiendelea kutoa zawadi
kwa baadhi ya wawakilishi kutoka Hospitali na vitengo mbalimbali
waliohudhuria
Dk. Mboneko akiendelea kutoa zawadi
kwa baadhi ya wawakilishi kutoka Hospitali na vitengo mbalimbali
waliohudhuria
Dk. Mboneko akiendelea kutoa zawadi
kwa baadhi ya wawakilishi kutoka Hospitali na vitengo mbalimbali
waliohudhuria
Dk. Mboneko akiendelea kutoa zawadi
kwa baadhi ya wawakilishi kutoka Hospitali na vitengo mbalimbali
waliohudhuria
Dk. Mboneko akiwa na mgeni rasmi
wakati mgeni huyo akijiandaa kuondoka ukumbini
Jesinta Mboneko akimsindikiza mgeni
rasmi
Dk. Mboneko akizunguza na mwandishi
wa ITV kueleza maudhui ya semina hiyo
Baadae washiriki wakawa kwenye
Cocktail party baada ya semina
Wakichangamsha kinywa baada ya
semina
Wakipata vinywaji baada ya
semina
Wakipata vinywaji na kubadilishana
mawazo baada ya semina
Wakibadilishana mawazo na kupata
vinywaji baada ya semina
Dk. Mboneko akibadilishana mawazo
huku wakipata vinywaji na mmoja wa washiriki wa semina
hiyo
Washiriki wa semina wakipata vinywaji
kwenye Cocktail party hiyo
Dk. Mboneko akiwa na baadhi ya
washiriki
Dk. Mboneko na Dk. Babu wakiwa katika
picha ya pamoja na washiriki wote wa semina hiyo. Picha zote na Bashir
Nkoromo wa theNkoromo
Blog
No comments:
Post a Comment