Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, March 3, 2015

NHIF YAWATAKA WAJASILIAMALI SINGIDA KUJIUNGA NA KIKOA

Kaimu meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Singida Bw.Salum Adam akizungumza na Viongozi wa vyama mbalimbali vya Wajasiliamali manispaa ya Singida kuhusu kujiunga na mpango wa utaratibu wa kupata huduma za matibabu kwa Kadi kupitia vikundi vyao katika sekta isiyo rasmi kama AMCOS,SACCOS,VICOBA na Umoja wa Waendesha Bodaboda na Mama Lishe.(Picha KAPIPIJhabari.COM)

 
Baadhi ya Wajasiliamali wakiwasikiliza Maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika mkutano huo wa Uhamasishaji kujiunga na Mpango wa Kikoa
Afisa kutoka Bima ya Afya makao makuu Dar-es-Salaam Bw.Salvatory Okumu akitoa Mada ya umuhimu wa kujiunga na mpango wa matibabu kwa kadi kwa sekta zisizo rasmi Kikoa.

Kaimu Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Singida Bw.Salum Adam.




No comments:

Post a Comment