![]() |
| Baadhi ya Wajasiliamali wakiwasikiliza Maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika mkutano huo wa Uhamasishaji kujiunga na Mpango wa Kikoa |
![]() |
| Afisa kutoka Bima ya Afya makao makuu Dar-es-Salaam Bw.Salvatory Okumu akitoa Mada ya umuhimu wa kujiunga na mpango wa matibabu kwa kadi kwa sekta zisizo rasmi Kikoa. |
![]() |
![]() |
| Kaimu Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Singida Bw.Salum Adam. |





No comments:
Post a Comment