Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, March 31, 2015

PICHA:::KIJANA ANUSURIKA KUFA KWA KUCHOMWA MOTO SINZA KWA KUIBA MKOBA



Dah! hii hatari sana. kijana mmoja wa bodaboda maeneo ya Sinza Afrikasana jijini DSM ambaye jina halikupatikana, alikoswakoswa kuuawa baada ya kupora mkoba uliokuwa na simu ya mwanamke aliyekuwa akipita njia. Cha ajabu kijana huyo alivyokwapua mkoba, pikipiki iligoma kuwaka basi raia wenye hasira kali wakaanza kumshushia kipigo
 
kikali. Kijana aliponea chupuchupu kuchomwa moto, 
kwani waliokuwa wamefuata mafuta ya petroli waliporudi walimkuta trafiki akizuia asiuawe basi raia hao walihamishia hasira zao kwenye kuichoma moto bodaboda ya kijana huyo.chanzo EaTV

No comments:

Post a Comment