NA.
|
MUDA
|
TUKIO
|
MHUSIKA
|
1.
|
12:00
– 01:00 |
Familia na Waombolezaji kupata chai nyumbani
|
Kaimu
Katibu wa Bunge |
2.
|
01:00
– 04:00 |
Misa
ya kuaga mwili wa Marehemu |
Kanisa
Katoliki,
Parokia
ya Bikira Maria Mpalizwa |
3.
|
04:00
– 04:30 |
·
Ndugu, Jamaa na Wananchi kuwasili katika Viwanja vya Karimjee
·
Viongozi wa Vyama vya Siasa, Waheshimiwa Wabunge, Manaibu Waziri, Mawaziri kuwasili na kuketi katika nafasi zao |
Katibu
wa Bunge |
4.
|
04:33
|
Kiongozi
wa Upinzani Bungeni kuwasili |
Kaimu
Katibu wa Bunge |
5.
|
04:36
|
Mhe.
Naibu Spika kuwasili |
Kaimu
Katibu wa Bunge |
6.
|
04:39
|
Mhe.
Spika kuwasili |
Mhe.
Naibu Spika |
7.
|
04:42
|
Mhe.
Waziri Mkuu kuwasili |
Mhe.
Spika |
8.
|
04:50
|
Mhe.
Makamu wa Rais kuwasili |
Mhe.
Spika |
9.
|
05:00
|
Mhe.
Rais kuwasili |
Mhe.
Spika |
10.
|
05:00
|
Mwili
wa Marehemu kuwasili kwa gwaride maalum la Sergeant-At-Arms |
Katibu
wa Bunge |
11.
|
05:00
– 05:15 |
Sala
fupi |
Kanisa
Katoliki,
Parokia
ya Bikira Maria Mpalizwa |
12.
|
05:15
– 05:20 |
Wasifu
wa Marehemu |
Kaimu
Katibu wa Bunge |
13.
|
05:20
– 05:30 |
Salamu na Rambirambi za Chama cha Mapinduzi (CCM)
|
Katibu
Mkuu, CCM |
14.
|
05:30
– 05:35 |
Salamu
na Rambirambi kutoka kwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni |
Kiongozi
wa Upinzani Bungeni |
15.
|
05:35
– 05:45 |
Salamu
na Rambirambi za Serikali |
Waziri
Mkuu |
16.
|
05:45
– 05:55 |
Salamu
na Rambirambi za Uongozi wa Bunge |
Mhe.
Spika |
17.
|
05:55
– 06:00 |
Neno la Shukrani toka kwa familia
|
Mwakilishi
wa Familia |
18.
|
06:00
– 06:15 |
Utaratibu
wa safari |
Kaimu
Katibu wa Bunge |
19.
|
06:15
– 07:15 |
Kuaga
Mwili wa Marehemu kulingana na Itifaki |
MC
|
20.
|
07:15
|
Mwili
wa Marehemu kuondoka uwanjani kuelekea Uwanja wa Ndege |
MC
|
21.
|
07:20
– 07:25 |
Viongozi
wa Kitaifa kuondoka kulingana na Itifaki |
MC
|
22.
|
07:40
|
Mwili
wa Marehemu kuwasili Uwanja wa Ndege |
Kaimu
Katibu wa Bunge |
23.
|
08:00
|
Mwili,
Familia na Waombolezaji kuondoka kuelekea Songea |
Kaimu
Katibu wa Bunge |
24.
|
10:00
|
Mwili
wa Marehemu kuwasili Uwanja wa Ndge Songea na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa |
Ofisi
ya Mkuu wa Mkoa |
25.
|
10:00
– 10:15 |
Mwili
wa Marehemu kuelekea Uwanja wa Majimaji |
Ofisi
ya Mkuu wa Mkoa |
26.
|
10:15
– 11:00 |
Mkuu
wa Mkoa kuongoza wakazi wa Ruvuma kuaga mwili wa Marehemu |
Ofisi
ya Mkuu wa Mkoa |
27.
|
11:00
– 01:00 |
Mwili
wa Marehemu kuondoka Uwanja wa Majimaji kuelekea Lituhi, Nyasa |
·
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
·
Kaimu Katibu wa Bunge |
28.
|
01:00
|
Mwili
kuwasili nyumbani na taratibu za kifamilia kuendelea |
MC
|
Dkt. Pallangyo Awasihi Wahitimu wa AKU Kuwa Wabunifu na Wenye Maono
-
CHUO Kikuu cha Aga Khan (AKU) kimefanya mahafali 20 kwa mwaka wa masomo
2024/2025, ambapo wahitimu 71 kutoka fani mbalimbali wamepokea shahada za...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment