skip to main |
skip to sidebar
TAZAMA PICHA 5 NAMNA JOHN EVANS ALIVYOMTEMEA MATE PAPISSCISSE,KITENDO HIKI SIOKIZURI
John Evans alianza kumtemea mate Papiss Cisse baada ya kukabiliana naye alipokuwa anaenda kushambuli.Kitendo hiki kimichezo hakikubaliki na sio uungwana kabisa lakini kwavile Cisse ni ngozi nyeusi inaonekana yeye mkorofi
Cisse hakukubali akmrudishia Evans kwa kumtemea mate na yeye
No comments:
Post a Comment