Pages

Friday, March 27, 2015

Uchaguzi wa Rais: Wanigeria kuamua



Wagombea Urais Nigeria
Raia wa Nigeria kesho wanatarajiwa kujitokeza katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo
Hata hivyo kumekuwa na vute ni kuvute huku kuripotiwa taarifa ya Mtendaji Mkuu wa Kampuni 

 
inayosambaza mashine za kusoma vitambulisho vya elekroniki vya wapiga kura kukamatwa na maafisa usalama wa nchi hiyo.
Chama kinachotawala nchini humo cha PDP kimesema kwamba mtendaji huyo Musa Sani anahusishwa na chama kikuu cha upinzani nchini humo cha APC ambaye anadhaniwa kutaka kuvuruga uchaguzi huo.(BBC)

No comments:

Post a Comment