Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, March 31, 2015

Wapata Ajali Wakielekea Morogoro Kumzika #ABDUBONGE Maeneo ya MWIDU, - Habari Kamili Hii Hapa


riyamaallyAjali iliowapata ndugu zetu maeneo ya MWIDU mkowa wa pwani kilometa 50 kutoka morogoro mjini mpaka MWIDU kwa walivotwambia amevunjika mwenzetu mguu Pole sana kwao Asanteni kwa duwa na sala tumewaacha na mdogo wa Marehemu #ABDUBONGE ameshaita gari linawafata na kuwa leta morogoro 

 
mjini Tuombeeni tuzike salama turudi salama.... WAUNGWANA WANGU


Ajali iliowapata ndugu zetu maeneo ya MWIDU mkowa wa pwani  kilometa 50 kutoka morogoro mjini mpaka MWIDU kwa walivotwambia  amevunjika mwenzetu mguu Pole sana kwao Asanteni kwa duwa na sala  tumewaacha na  mdogo wa Marehemu #ABDUBONGE ameshaita gari linawafata na kuwa leta morogoro mjini Tuombeeni tuzike salama turudi salama.... WAUNGWANA WANGU


No comments:

Post a Comment