Ukiachilia mbali marais wengi wa Afrika
kupenda kukaa kwa muda mrefu madarakani lakini kuna hili la
kujilimbikizia mali, wengine huzipata kabla ya kuwa marais lakini wengi
wao huzipata wakati wanashikilia madaraka kwa kipindi chote wanapotawala
nchi husika.
WANAHARAKATI WASISITIZA UUNGWAJI MKONO KWA WANAWAKE WALIO TEULIWA NA VYAMA
KUGOMBEA
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
WANAHARAKATI wa Jinsia na Maendeleo wameshauri kuwaunga mkono wanawake
ambao wameteuliwa na vyama vyao kutokana na kukatwa...
29 minutes ago
No comments:
Post a Comment