Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, April 2, 2015

KIKONGWE MWENYE UMRI MKUBWA ZAIDI DUNIANI ALIYE TIMIZA MIAKA 117 MWEZI ULIOPITA AFARIKI DUNIA

Okawa
Mtu aliyekuwa na umri mkubwa duniani kutoka nchini Japan amefariki wiki kadhaa baada ya kusherehekea miaka 117 tangu azaliwe.
Misao Okawa alifariki katika kituo cha uangalizi mjini Osaka,mji ambao alizaliwa mwaka wa 1898.
Okawa amewaacha vitukuu sita na wajukuu wanne .

 
Kufuatia kifo chake kuna madai kwamba kumesalia watu wanne pekee wanaodaiwa kuwa hai ambao walizaliwa karne ya kumi na tisa.
Wote ni Wanaume huku mwanamume wa mwisho akifariki mwaka 2013.

No comments:

Post a Comment